johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama umemsikiliza vizuri Jaji Warioba utagundua hakuna sehemu yoyote amewatuhumu CCM kwa jambo lolote.
Hoja za Jaji Warioba zimelenga Serikali na Upinzani ambako Chadema ndio Chama kikuu.
Kuna sehemu Warioba anasema kabisa "Wanaowaingiza polisi kwenye Siasa ni Serikali siyo CCM"
Hivyo kwa muktadha wa maudhui ya Hoja za Warioba CCM iko salama kabisa.
Maelezo yote ya Mzee Warioba yamebebwa na hitimisho lake "Tusipochukua hatua sasa Uchaguzi wa 2025 utakuwa kama huu wa 2024"
Hapo utaona CCM hawana hatua zozote za kuchukua kwa sababu wameshinda kwa kishindo.
Serikali na Upinzani ndio Wana hatua za kuchukua kuelekea 2025 kama Mapungufu yaliyo Wazi yanavyojionyesha.
Kama utafiti wa Wapinzani ulionyesha watapata 25% hapo ndipo Chadema Kwa niaba ya Upinzani wote wanaweza kuanzisha Mjadala na Jaji Warioba wa "Nini kifamyike"
Serikali yenyewe inaweza kumjibu Jaji Warioba kuhusiana na ile "Engua Engua ya Wagombea wa Upinzani pekee".
Akina Lucas Mwashambwa Nyie punguzeni kihelehele Jaji hajawagusa 😀😀