Wanaopata div 1 za necta ndio wanaongoza kufeli vyuo vikuu

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,570
hasa hawa wa shule za ST.
wakiingia vyuoni hushindwa hata div 111 za shule za kata.
pale UDSM tulisoma na dada mmoja, huyu ndie kati ya wanafunzi 10 bora mtihani wa kidato cah nne.
lkn alipokuha pale alikuwa ni moja ya wanafunzi wabovu
 
Hawaferi kwa sababu ya kutokuwa njema upstairs ila mazingira yamebadilika kutoka kufugwa na kuchungwa sana kuwa free kama molecules!
Wengi yamewakuta hayo ila ambao wamecope na changes wameendelea kuwa fit mpaka chuo!
 
Watoto wengi wa hzo shule huwa wanakimbilia vyuo vya private,udsm tuko nao wachache sana,ingawa wanajitahdi kwa kiasi flani.
 
Huwa wanaiba mtihan na ndo maana wakifka juu wanachemka vbaya..... hovyo kweli
 
Huwa wanaiba mtihan na ndo maana wakifka juu wanachemka vbaya..... hovyo kweli

Mbona hawa watoto mnawaandama sana. Wivu kwa vile wakati huo hatukuweza kushindana kuzipata hizo shule au wazazi wetu walikuwa wachovu wasioweza kutupeleka shule hizo. Sasa fundo bado lipo moyoni mwetu. Cijawahi kumsikia aliyefeli chuo kikuu, sana sana wengi wako nje ya nchi wanasoma-maana univeristies za nje zinawatafuta.
 
hasa hawa wa shule za ST.
wakiingia vyuoni hushindwa hata div 111 za shule za kata.
pale UDSM tulisoma na dada mmoja, huyu ndie kati ya wanafunzi 10 bora mtihani wa kidato cah nne.
lkn alipokuha pale alikuwa ni moja ya wanafunzi wabovu

Usi-generalize! Si wote wanafeli vyuoni, na si wote wanaiba mitihani..
 
ebana eh kunatotoz za st mary g na marian muhimbili ni balaa. wale watoto hawashikiki wako njema kwenye bongo.

Natolea mf. muhas coz ninauzoef napo karibia 60% intake ya wasichana wanaochukua md wanatoka hizo shule na amin usiamin watoto wale wanauwezo..
 
hasa hawa wa shule za ST.
wakiingia vyuoni hushindwa hata div 111 za shule za kata.
pale UDSM tulisoma na dada mmoja, huyu ndie kati ya wanafunzi 10 bora mtihani wa kidato cah nne.
lkn alipokuha pale alikuwa ni moja ya wanafunzi wabovu

Yaani wewe ni graduate...na elimu yako yote una'generalise' experience ya mtu mmoja kwa kundi kubwa la wanafunzi wanaofanya vizuri kwenye mtihani wa kiTaifa. Kama ndivyo basi na mimi Muhimbili nilisoma na vichwa kibao toka Mzumbe na Ilboru...na walikuwa wanatuburuza bado darasani!
 
hasa hawa wa shule za ST.
wakiingia vyuoni hushindwa hata div 111 za shule za kata.
pale UDSM tulisoma na dada mmoja, huyu ndie kati ya wanafunzi 10 bora mtihani wa kidato cah nne.
lkn alipokuha pale alikuwa ni moja ya wanafunzi wabovu
@Kunguru Mweusi
Hao wanafunzi wa St wanatunzwa na kuonyeshwa njia kiasi cha hata kwa wale walio 'mapepe' wanapata mazingira bora ya kufaulu, tatizo chuoni hakuna kutunzana tena , wakiamua kuwa walevi na kushinda bar kila siku ,hiyo ni juu yao ,
wengine wanashikwa masikio na wanaume ndani ya mfumo mapenzi mamboleo,
Ila ukweli utabaki kuwa wengi ni vipanga , wanaweza kutumia akilia zao vizuri...
 
Shukuruni Mungu hawa wanaotoka shule hizo kidogo wanaokoa lile tatizo la kitaifa. Nimesikia wahitimu wengi na wanafunzi wa UDSM hawana uwezo wa kuzungumza lugha ya malikia kwa ufasaha
 
Shukuruni Mungu hawa wanaotoka shule hizo kidogo wanaokoa lile tatizo la kitaifa. Nimesikia wahitimu wengi na wanafunzi wa UDSM hawana uwezo wa kuzungumza lugha ya malikia kwa ufasaha

umesikia wapi?
 
Shukuruni Mungu hawa wanaotoka shule hizo kidogo wanaokoa lile tatizo la kitaifa. Nimesikia wahitimu wengi na wanafunzi wa UDSM hawana uwezo wa kuzungumza lugha ya malikia kwa ufasaha

source please.
 
Elimu ya chuo ni ya kukariri tu, mi mwenyewe ilinitesa sana japo masomo yaliyonipatia nafasi nilipata A na B,
kiukweli wale vilaza wanaokesha wakimeza hutoka!
mpaka sasa sipendi kabisa sytem ya usomaji wa vyuo vikuu,
 
hasa hawa wa shule za ST.
wakiingia vyuoni hushindwa hata div 111 za shule za kata.
pale UDSM tulisoma na dada mmoja, huyu ndie kati ya wanafunzi 10 bora mtihani wa kidato cah nne.
lkn alipokuha pale alikuwa ni moja ya wanafunzi wabovu

tumekuelewa mkuu,ngoja tuwasisitize vijana wapate div3,ili wawe wakali vyuoni!
 
Huo utafiti wako umefanya kw wnwfunzi wangapi na kwa muda gani?????? Mwanafunzi mmoja hatoshi kuthibitisha unachosema.
 
Elimu ya chuo ni ya kukariri tu, mi mwenyewe ilinitesa sana japo masomo yaliyonipatia nafasi nilipata A na B,
kiukweli wale vilaza wanaokesha wakimeza hutoka!
mpaka sasa sipendi kabisa sytem ya usomaji wa vyuo vikuu,
Uko sahihi mkuu. Kuna jamaa yangu huku chini alikuwa kipanga wa kutisha. Form four alitengeneza pt7, six akaweka pt4. Huyu jamaa alizoea kujisomea mavitabu. Kule chuo akaona atumie utaratibu huo huo. Kumbe wenzake wanakesha wakikariri madesa. Jamaa aliliwa kichwa mwaka wa pili baada ya kukoswa koswa mwaka wa kwanza.
 
utaratibu wa mitihani ya chuo mbovu sana kwa lectures wengi hawana maadili ya kiualimu mi mwenyewe o level na advance nilikuwa nondo kwq sababu nilikuwa nasoma kwa kuelewa ila chuo ni kumeza mwanzo mwisho na mwalimu anataka umwandikie anachojua kwani walimu wa vyuo ni wazembe kujisomea
 
Mim nazani chuo kuna ua vipaji,.hawa ma st student wanakuwa na uwezo bt wakija vyuoni vipaji vyao kwishney
 
Mkifk chuo ni km mnaanza drs la kwanza kufundishwa a e i o u. Hizi ni herufi kuu,,,,,,,,, so haishangazi kukuta mtu wa div 3 akacope na hizo herufi tofauti na huyo wa div 1 ambaye atachelewa kucope!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…