music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Watu wa kupenda fashion mara nyingi tunakuwa tuna sehemu zetu za kununua mavazi kama nguo, kofia, wallet, mabegi, miwani, saa za mkononi nk nk.. Pia vitu kama perfumes, jewelries nk...
So tunaweza kupeana ripoti ni wapi pa kununua vitu vikali.
Mimi binafsi pamba zangu nanunua zaidi Msasani mall pale, Mr price Mlimani, kuna duka opposite na tra mwenge siku hizi wameama sijui wameamia wapi! Street soul maduka yao yote ubungo & quality center hapa napenda kununua tshet, shati na kadeti.... Jeans zangu nanunua kwa aziz house of jeans kkoo.. Perfume nanunua jd pharmacy harbor view samora.. Viatu bado sina chimbo la kueleweka sometimes naagiza kwa qulex huko insta au kwenye hayo hayo maduka japo bado sipati vile roho inataka...
Haya wazee wa vitu vizuri karibuni tushee maujanja.