bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 732
Dr Anthony Fauci moja Kati ya madaktari na wanasayansi wakubwa katika nchi ya Marekani pia mshauri mkuu wa Raisi katika masuala ya Afya na bingwa wa magonjwa ya kuambukiza(infectious diseases) na director wa taasisi ya magonjwa ya kuambukiza na (allergy) marekani katika mahojiano yake na NBC moja ya vituo vikubwa vyahabari nchini hapo alisema "watu ambao hawajachanjwa wanatakiwa kufikiria jamii yao kwasababu wao ndyo wanaruhusu kusambaa na kubadilika badilika kwa kirusi wa uviko19 (yaani virus mutation)hivyo kinaweza kusababisha kutokea kwa form mpya ya kirusi(new variant) hatari zaidi ya Delta variant ambaye ndicho hatari
zaidi kwasasa".
zaidi kwasasa".