Wanaopumuliwa mgongoni tuwasaidiaje ?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kuamua kwenda kinyume na maumbile na kundi hili sasa
aliangalii kama ni wakurugenzi ma engineer yaani imeenda beyond limit..

sasa basi tumekuwa ama tumeona thread nyingi sana zikiwasema na zingine zikitoa maamuzi ya kunyongwa ingawa ni mapema sana kuchukua uhai wa mtu nikiamini bado wapo wana jf wenye uwezo wa kuwashauri wenzetu hawa walioamua.

Kuparuriwa migongo najuwa wapo waathirika wakundi hili hata humu JF ila naomba ifike sasa tuanze kutoa msaada kwao wafanyeje ili waweze kuondokana na uchafu huu ama dhamabi hii najua na naamini kama kahaba anageuka na kumjua Mungu sembuse hawa bana!!

Ukiwa kama ndugu wa karibu ama mwathirika wa hili maoni yako nini juu ya kuachana na katabia haka. Nilikuwa na jiran yangu angekuwa hai angesaidia kutoa maoni kama mwathirika bahati mbaya MBWA walimtafuna kule Rainbow Mbezi beach akiinamishwa na waarabu!!
 

kwa izo colour nlivyozichanganua sina la kuongeza...maana kama ni ndoa wanazo,wanaziheshimu,wanafanya kazi zao.ni 100% men,na anafanya hayo na mwenzie mwenye upeo kama wake kwa gia y afreindship........am done!!
 
pdidy loh.......................................
 
Pdidy....kwani wamesema wanahitaji msaada? Unamsaidiaje mtu asiyehitaji msaada? Sisi tusiohusika ndio tunaona ni tatizo na pengine wanahitaji msaada, wenyewe wanajiona wako sawa tu na hawahitaji msaada...tuwaache!
 
Sio waathirika. wana akili zao timam, na full integrity. Na hawahitaji msaada pia. Initiating something (even good) without consulting the people you intend to help, is a plot against them. Hivo anzisha kwanza thread yakuuliza: Homosexuals, do you need help? if yes how can we help you?
 
Itabidi Piddy uanzishe NGOS nyingi:
1. Kwa wanaopumuliwa.
2. Kwa wanaopumulia
3. Kwa wanaopumuliana
4. Kwa wanaojiuza
5. Kwa wanaonunua
6. Kwa wasiotaka kuoa
7. Kwa wanaopoteza bikra zao (wanaume na wanawake)
8. Kwa wanaokimbilia nyumba ndogo
9. .............................
10. ........................... orodha ni kubwa. Kwa nini kwa wanaopumuliwa tu?
 
Wanafanya kwa raha zao sidhani kama wanahitaji msaada sabau ni watu na akilizao na wengine na wana family pia.
 
Hii sredi itaondolewa sasa hivi!
 

binafsi nadili na no 8 mkuu ila nikipata usajili no 9 ntajaribu
 
binafsi nadili na no 8 mkuu ila nikipata usajili no 9 ntajaribu

Suala hili humu MMU huwa HALIJADILIKI!! Sielewi ni kwa nini. Kwamba humu MMU wako wengi wanaoshiriki hako kamchezo au wako wengi wanaokapinga hako kamchezo!? Likija hili suala basi kila mtu unaona yuko kimcharukocharuko.

Kulikoni jamani tuelezane!!
 
Mkuu kwanza inabidi wakubali ni tatizo ndio unaweza kuwasaidia,kama hawaoni tatizo unapoteza muda,halafu naona kama umechelewa ungemsaidia yule jirani yako kwanza.Kutaja kuwa alikuwa anainamishwa na mtu wa jamii flani haliondoi tatizo kwakuwa wainamishaji ni kutoka jamii na makabila yote.
 
em ajotokeze shoga mmoja tuongee kwa mifano zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…