Wanaosafirisha mchele kutoka kahama tukutane hapa

Emmathias

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
681
Reaction score
958
Habari za mda Huu wakuu, nataka kufanya biashara ya Mchele, naomba kupata mtu anayesafirisha mchele kutoka Kahama na kupeleka mikoa mingine anisaidie kunipa taarfa ya bei ya Mchele kwasasa na maswali mengine yanayohusiana na bidhaa ya Mchele.
Asanteni
 
Mchele Kahama ni unaanzia 900 mpaka 1400. Na hii ni bei ya Kagongwa ambako ndo kuna soko kubwa la mchele kwa wilaya ya Kahama. Km unataka maelezo zaidi njoo pm kiongozi!!
 
Kwa kahama mjini bei ni sh 1100 hadi 1600 kwa @kg
Sijawahi kusafirisha kwenda mikoani
 
Mchele Kahama ni unaanzia 900 mpaka 1400. Na hii ni bei ya Kagongwa ambako ndo kuna soko kubwa la mchele kwa wilaya ya Kahama. Km unataka maelezo zaidi njoo pm kiongozi!!
Ok sawa mkuu
 
Back
Top Bottom