Mchele Kahama ni unaanzia 900 mpaka 1400. Na hii ni bei ya Kagongwa ambako ndo kuna soko kubwa la mchele kwa wilaya ya Kahama. Km unataka maelezo zaidi njoo pm kiongozi!!Habari za mda Huu wakuu, nataka kufanya biashara ya Mchele, naomba kupata mtu anayesafirisha mchele kutoka Kahama na kupeleka mikoa mingine anisaidie kunipa taarfa ya bei ya Mchele kwasasa na maswali mengine yanayohusiana na bidhaa ya Mchele.
Asanteni