Wanaosajili line za Simu wanalipwa commission kutokana na matumizi ya mteja?

Wanaosajili line za Simu wanalipwa commission kutokana na matumizi ya mteja?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu,

Huwa najiuliza hawa vijana wanaozunguka mitaani wakiuza line za mitandao ya Simu wanafaidikaje? Wanafaidika tu kwa kuuza line walizonunua kwa bei ya jumla au baada ya kumsajili mtu huwa wanapata commission labda kila mwezi kulingana na matumizi ya mteja?

Wenye kufahamu tafadhali mnijuze.
 
Back
Top Bottom