Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Wanaosema Muheshimiwa Rais anawapendelea wananchi wa Wilaya ya Chato kwa kutekeleza miradi mikubwa wilayani humo hata kaamua kwenda kula Christmas nyumbani kwao waje na hoja hizi (sisi wa Nyamagana hatuna swali, hata zile millioni mia alizotuahidi Mwanza Sekondari zimeshafika project inaendelea) ili niamini kweli anapendelea Chato watuletee hoja hizi.
1. Reli ya kisasa inayokwenda Chato
2. Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere linalojengwa Chato
3. Meli kubwa zinazojengwa Ziwa Chato
4. Hospital za Wilaya na za Rufaa zinazojengwa Chato
5. Shule za sekondari kongwe 52 zilizokarabatiwa Chato
6. Umeme wa REA vijijini Chato
7. Ndege 11 za Chato
8. Bil 23 kwa mwezi za EMBM Chato
9. Bil 202 Elimu ya juu Chato
10. Mradi wa maji toka Ziwa Victoria kwenda mikoa ya kati Chato
11. Daraja la kisasa (salender bridge) Dar es salaam Chato, Ubungo Interchange Chato - it is endless!
Stay blessed always President Magufuli.