Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Akili ndogo huwezi elewa.Kuna watu fulani fulani wanapitishwa kipindi kigumu sana na mama Samia
Msipokuwa makini mwaka huu mtakunya moto
Watu wanataka fursaWakuu wameanza tena, wanasema mama mpaka 2030 na atakayempinga atakiona. Najaribu kuwaza hawa watu tunaposema "Kila amtegemeae mwanadamu amelaaniwa" hawaelewi? Awamu ya tano walianza hivihivi, wakamtia kibri JPM wakakufuru na mwisho laana ikawa juu yao. Ameanza Kigwangala, jana tukamsikia tena Mwenyekiti CCM MARA na hawafanyi kwa bahati mbaya! la hasha bali ni kujaribu kuonesha ni kwa namna gani wamepotoka. At the end their regime will be fated to end badly.
CCM ni majambazi wa kuraKinachosikitisha zaidi ni kama hakutakuwa na wagombea wengine kutoka vyama vingine.
Labda kwa vile wanajua mgombea wa chama chao huwa anashindishwa tu hata kama kura hazitoshi.