Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Kama ni korona basi mbna haitokei Kwa Namungo ambaye amepoteza mechi zote?eti wanasema timu zilizofungwa na Simba hazichezi ligi za nyumbani kwao kwa sababu ya corona. hazina metch fitness. Yanga hawana akili hata ya kuvukia barabara. Congo, Misri na Sudane ligi zinaendelea kama kawaida.
Usikute wanaenda kuzitafuta hizi timu Kariakoo mtaa wa Kongo na Temeke Sudani
Yaani kbs wanaokoteza sbb tu vile wanadai ATCL imepata hasara sbb ya covid 19 bas na mpira huku hawasemi nammungo jeKama ni korona basi mbna haitokei Kwa Namungo ambaye amepoteza mechi zote?
Waache na domo lao hawajui msimu ujao tumewabebaYaani kbs wanaokoteza sbb tu vile wanadai ATCL imepata hasara sbb ya covid 19 bas na mpira huku hawasemi nammungo je
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Waaache nyimbo hawaeti wanasema timu zilizofungwa na Simba hazichezi ligi za nyumbani kwao kwa sababu ya corona. hazina metch fitness. Yanga hawana akili hata ya kuvukia barabara. Congo, Misri na Sudane ligi zinaendelea kama kawaida.
Usikute wanaenda kuzitafuta hizi timu Kariakoo mtaa wa Kongo na Temeke Sudani