Wanaoshangalia utajiri wa Elon Musk (Marekani). Hawajui historia

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Surah Al-Qasas (28:76-82):“Hakika Qarun alikuwa miongoni mwa watu wa Musa, lakini alijitenga na wao kwa kiburi. Tulimpa mali nyingi sana, na funguo za hazina zake zilikuwa nzito kubeba na watu wenye nguvu walikuwa wanabeba funguo hizo. Wakati alipojionyesha kwa watu wake, wale walio kuwa wanapenda maisha ya dunia walipokuwa: ‘Laiti tungekuwa na mfano wa alichonacho Qarun! Kwa kweli, yeye ni mwenye bahati kubwa.’”
 
Jamaa yangu siku utakapoacha mihemko ya kidini!!
Au basi tu.
Pata elmu hii kwanza. Ulijua kama kulikuwa na tajiri? unasoma vitabu vya ngoswe tu. any way, uko wapi udini hapo? ukiona quran ndio unaona udini lakini ukiona maandiko ya bible ndio unaweka like?
 
Ingekuwa hyo dini inatoa utajiri bac wavaa kanzu na walokole wangeringaa sanaaa
 
Surah Al-Qasas (28:76-82):“Hakika Qarun alikuwa miongoni mwa watu wa Musa, lakini alijitenga na wao kwa kiburi. Tulimpa mali nyingi sana, na funguo za hazina zake zilikuwa nzito kubeba na watu wenye nguvu walikuwa wanabeba funguo hizo. Wakati alipojionyesha kwa watu wake, wale walio kuwa wanapenda maisha ya dunia walipokuwa: ‘Laiti tungekuwa na mfano wa alichonacho Qarun! Kwa kweli, yeye ni mwenye bahati kubwa.’”
Dah, ila wewe jamaa huwa sikusomi kabisa
 
Back
Top Bottom