ujue ndio umuhimu wa kusoma dini na dunia, wewe hata kupangusa kinyesi hujui, maana bilblia huisomiUMEMALIZANA NA CHADEMA UMEHAMIA ELLON MASK SASA.
Pata elmu hii kwanza. Ulijua kama kulikuwa na tajiri? unasoma vitabu vya ngoswe tu. any way, uko wapi udini hapo? ukiona quran ndio unaona udini lakini ukiona maandiko ya bible ndio unaweka like?Jamaa yangu siku utakapoacha mihemko ya kidini!!
Au basi tu.
Huyu ana shida ubongo wake umechanganyika na mafuta ya nguruweUMEMALIZANA NA CHADEMA UMEHAMIA ELLON MASK SASA.
Hiyo malaria imeshapanda kichwaniKichwa cha habari na habari yenyewe ni kama mbingu na ardhi.
Dah, ila wewe jamaa huwa sikusomi kabisaSurah Al-Qasas (28:76-82):“Hakika Qarun alikuwa miongoni mwa watu wa Musa, lakini alijitenga na wao kwa kiburi. Tulimpa mali nyingi sana, na funguo za hazina zake zilikuwa nzito kubeba na watu wenye nguvu walikuwa wanabeba funguo hizo. Wakati alipojionyesha kwa watu wake, wale walio kuwa wanapenda maisha ya dunia walipokuwa: ‘Laiti tungekuwa na mfano wa alichonacho Qarun! Kwa kweli, yeye ni mwenye bahati kubwa.’”