trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
...ila cha ajabu huwa,hawaachi wake zao kwa sababu ya ugoni....!!
...ila cha ajabu huwa,hawaachi wake zao kwa sababu ya ugoni....!!
Inaelekea kuna mambo yameshakupata . siyo bure mkuu paka uanzishe huu uzi.
hilo ndo la ajabu mno..
eti unamuadhimu mwanaume..
unabaki na mkeo..umemsamehe....
ni sawa na kumwambia mkeo halikuwa kosa lake...
so hata akirudia tena,sio kosa lake...
siku hizi ndo hawaachi
ila zamani huko kusini mwa kanda ya ziwa anaachwa sana
tena na mahari wanaidai vizuri
Kuachana kupo sana,ila si sababu ya ugoni.. Imegeuka kuwa ni dili...
Hata kama kuna kudai mahari..mahari si ya gharama sana,na kwa makabila ya kusini hawaoni fedheha kwenye vitu kama hivyo.. Nadhani mila za unyago zinawapotosha sana..
The boss kuna mtu kakutisha nini kama vipi achana na nyumba ndogo tulia ili swala la kulawitiwa uwe unalisikia tu na likupitie mbali.
haipaswi kuwa fedheha ya mwanaume
ni maamuzi tu ya mwanamke sometimes fo fun..
ha ha haaa mbu achana speculation bana...
changia mada aisee...
...lol....nichangie nini ilhali sijawahi tongoza wala tembea na mke wa mtu bana?
hata nikisikia wangu anaibiwa ni aheri nimpe ruhusa tu akaliwe kihalali...
-hii ya kumfanyia liwati mwanaume mwenzangu haijatulia kabisa..
Sintogombana na mwanaume mwenzangu hata siku moja kwa maamuzi ya mamsap..:A S-coffee:
Mbu mimi nazungumzia hii adhabu ilivyo
popular na kukubalika kwa jamii yetu...
wewe unaweza sema haikuhusu...but usisahau una watoto,kaka,wajomba na kadhalika..
jamii iliyotuzunguka inaweza kumkumba mtu unayemfahamu...
hii mentality ya 'uhalali' wa adhabu hii unaonaje??????
Kulawiti ni kosa la jinai na adhabu yake ni miaka 30 jela na viboko 24, kumi na viwili wakati anaingia na kumi na viwili wakati anatoka.
mimi nikifumania na deal na wife tu
sidhani kama ni wise kumuadhibu mtu ambae pengine hakujua in the first place ana deal na mke wa mtu...
Haukumalizia mkuu: 'Akamuoneshe mke wake" :lol:Kulawiti ni kosa la jinai na adhabu yake ni miaka 30 jela na viboko 24, kumi na viwili wakati anaingia na kumi na viwili wakati anatoka.
Sintogombana na mwanaume mwenzangu hata siku moja kwa maamuzi ya mamsap..:A S-coffee: