Wanaoshindwa ku log in tcu wacheki hapa!

BAOSITA

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
368
Reaction score
188
Habari zenu vijana,
Bila kupoteza muda,kwa wale ambao wanajaribu kuingia kwenye akaunti(Sio za Bank) zao za TCU kucheki matokeo yao ya chuo,waingize index zao kama kawaida lakini password waweke hii 123456 itafungua.Imetolewa na TCU leo kwa wale ambao walienda kuulizia tatizo la akaunti zao kutofunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…