Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa.

Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA
 
Mi nmeshindwa kupata control namba , naomba nipe mbinu mkuu
 
Hawa watu wa hovyo sana. Watakuambieni kuwa kila mtu atapata mkopo lakini figisu watakazowafanyia lazima kuna watakaokwama halafu mwisho wa siku watawalaumu kwa uzembe.
 
Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa.

Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA
*150*00# kisha chagua namba 4 (Lipa kwa Mpesa)
kisha chagua namba 4(Malipo ya serikali)
kisha chagua namba 1(Weka kumbukumbu namba)
Copy control namba yako apo kisha weka kiasi , then pin

Nasubiri msaada wako wa jinsi ya kupata control namba ya kulipia fomu
 
Mkuu hiyo pin ni pin gan tena, mwaka huu hakuna kuingiza namba ya kampuni.
 
Nikisema Pin namaanisha namba yako ya siri, hakuna maswala ya namba ya kampuni...Hio sio betting

Hiyo ni taasisi ya serikali ivyo kwenye kulipia unachagua namba 4 (Malipo ya serikali) kisha unajaza control namba
 
Okay hapo sawa
 
Mtandao wako haupo vizuri
Sijakuelewa unamaanisha nn kusema mtandao wangu hauko vizuri wakati apa nilipo inasoma 4G

Eb elezea kidogo mkuu, mtandao gani unafaa au nitumie kifaa gan
Screenshot_20210716-101657.jpg
 
Back
Top Bottom