Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Eleza wapi unakwama kwenye kulipia kwa MPESA nikuelekezeWanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa.
Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA
Dunia hain hurumaHawa watu wa hovyo sana. Watakuambieni kuwa kila mtu atapata mkopo lakini figisu watakazowafanyia lazima kuna watakaokwama halafu mwisho wa siku watawalaumu kwa uzembe.
*150*00# kisha chagua namba 4 (Lipa kwa Mpesa)Wanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa.
Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA
Mi nmeshindwa kupata control namba , naomba nipe mbinu mkuu
Mkuu hiyo pin ni pin gan tena, mwaka huu hakuna kuingiza namba ya kampuni.*150*00# kisha chagua namba 4 (Lipa kwa Mpesa)
kisha chagua namba 4(Malipo ya serikali)
kisha chagua namba 1(Weka kumbukumbu namba)
Copy control namba yako apo kisha weka kiasi , then pin
Nasubiri msaada wako wa jinsi ya kupata control namba ya kulipia fomu
Nikisema Pin namaanisha namba yako ya siri, hakuna maswala ya namba ya kampuni...Hio sio bettingMkuu hiyo pin ni pin gan tena, mwaka huu hakuna kuingiza namba ya kampuni.
Okay hapo sawaNikisema Pin namaanisha namba yako ya siri, hakuna maswala ya namba ya kampuni...Hio sio betting
Hiyo ni taasisi ya serikali ivyo kwenye kulipia unachagua namba 4 (Malipo ya serikali) kisha unajaza control namba
Sijakuelewa unamaanisha nn kusema mtandao wangu hauko vizuri wakati apa nilipo inasoma 4GMtandao wako haupo vizuri
Mimi natumia WIFI ya taasisi yetu mkuu. Ndio maana mtandao unanguvu.Sijakuelewa unamaanisha nn kusema mtandao wangu hauko vizuri wakati apa nilipo inasoma 4G
Eb elezea kidogo mkuu, mtandao gani unafaa au nitumie kifaa ganView attachment 1855646
Mkuu nimekuchek DMMimi natumia WIFI ya taasisi yetu mkuu. Ndio maana mtandao unanguvu.
Nisaidie mkuuuuu nimekwamaWanaoshindwa kupata control number bodi ya mikopo njooni niwasaidieni hapa.
Lakini na ninyi nisaidieni jinsi ya kutuma hiyo elfu 30 kwenda loan board kwa MPESA