K Konzogwe JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 434 Reaction score 156 Apr 8, 2009 #1 (Nauliza kwa niaba) Nahitaji kusoma chuo cha sanaa Bagamoyo lakini ukweli ni kwamba sina hela kumudu fees... Naomba niulize kwa anayejua,hivi hamna MKOPO kama ilivyo univarsities? Au kama kuna namna nyingine ya msaada niambieni.
(Nauliza kwa niaba) Nahitaji kusoma chuo cha sanaa Bagamoyo lakini ukweli ni kwamba sina hela kumudu fees... Naomba niulize kwa anayejua,hivi hamna MKOPO kama ilivyo univarsities? Au kama kuna namna nyingine ya msaada niambieni.
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Apr 9, 2009 #2 Sidhani kama bodi inatoa mikopo kwa chuo cha sanaa.....Bagamoyo.kaza msuli utafute ada ukasome....kama kweli wataka kusoma pale...
Sidhani kama bodi inatoa mikopo kwa chuo cha sanaa.....Bagamoyo.kaza msuli utafute ada ukasome....kama kweli wataka kusoma pale...
Mchoraji Cyper255 JF-Expert Member Joined Nov 21, 2012 Posts 1,780 Reaction score 6,133 Feb 23, 2015 #3 konzogwe said: (nauliza kwa niaba)nahitaji kusoma chuo cha sanaa bagamoyo lakini ukweli ni kwamba sina hela kumudu fees...naomba niulize kwa anayejua,hivi hamna mkopo kama ilivyo univarsities? Au kama kuna namna nyingine ya msaada niambieni. Click to expand... Naomba kiifufua hii post tena. Karibuni.
konzogwe said: (nauliza kwa niaba)nahitaji kusoma chuo cha sanaa bagamoyo lakini ukweli ni kwamba sina hela kumudu fees...naomba niulize kwa anayejua,hivi hamna mkopo kama ilivyo univarsities? Au kama kuna namna nyingine ya msaada niambieni. Click to expand... Naomba kiifufua hii post tena. Karibuni.