Nukta5 JF-Expert Member Joined Jun 7, 2014 Posts 1,192 Reaction score 1,315 Nov 5, 2025 #1 Baada ya kutokea machafuko wanasiasa wanaosubiri kuteuliwa hawana haja ya kutoa pole kwa wafiwa au kuonyesha kuguswa kwa yaliyotokea hadi pale Rais atakapoonyesha amechukizwa na hilo
Baada ya kutokea machafuko wanasiasa wanaosubiri kuteuliwa hawana haja ya kutoa pole kwa wafiwa au kuonyesha kuguswa kwa yaliyotokea hadi pale Rais atakapoonyesha amechukizwa na hilo
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,554 Nov 5, 2025 #2 Ukionyesha simanzi na masikitiko hulambi teuzi.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Nov 5, 2025 #3 Hii ni mbaya sana.