Wanaoswali Ijumaa Wameitoa wapi??Jumapili ni siku ambayo mwanzilishi wake ni Catholic! Yesu alisulubiwa na kufa Ijumaa- Petro Mwanzilishi wa Kanisa la Kweli na la Kwanza, na Wanaomfuatia kama walithi wa Kiti chake kama mkuu wa Kanisa - wana mamlaka ya kubadili aina ya ibada, Muda na Mengineyo! Wanaomfuata Yesu awana maapizo/ wala Maagano- agano lao ni Ubatizo: Awafungamani na wala awatohukumiwa kwa kutofuata Torati ya Musa- Wapo Huru kwa Damu Takatifu ya Yesu Kristu Alizaliwa na Bikira Maria ambae ni Mwanamke Bora kuliko Yeyote yule Duniani. Quran3:47 :;Quran 66:12:;Katika Agano la Kale, hakuna ushahidi unaoonyesha kwamba Jumapili ilikuwa siku ya ibada kwa waumini. Badala yake, Agano la Kale linaweka msisitizo juu ya Sabato, ambayo ni siku ya saba ya juma (Jumamosi), kama siku ya mapumziko na ibada. Amri ya nne kati ya Amri Kumi inasema:
"Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako..." (Kutoka 20:8-10).
Kwa hivyo, katika maandiko ya Agano la Kale, Jumamosi (siku ya saba) ndiyo iliyotengwa kama siku ya ibada na mapumziko.
Labda shida sio siku direct,shida nadhani ni maana ya sabato yenyewe ne jumapili inaadhimishwa Kwa maana hiyo ya sabato au Kwa maana tofauti!!wanaoshikilia jumamosi na kujiona wapo sahihi zaidi nawashangaa sana
kwanza kalenda hii tunayotumia inaitwa gregorian kalender na ilianza kutumika miaka ya elfumoja na huku yaani sio ya siku nyingi
hii kalenda ndo ilikuja na mpangilio huu na ilipangwa hivi na papa Gregory, lengo la calender kubadilishwa ni nyingi moja wapo kuu ni ku correct erors iendane na majira halisi ya mwaka,
Calender iliyokua inatumika kipindi cha yesu ni tofauti ilikua inaitwa Julian callender
na callender iliyokua inatumika agano la kale ni tofauti
sasa je nyie mbona mmeishikilia sana jumamosi hii ambayo ni ya Gregorian callender ?, je papa Gregory angeipanga tofauti kidogo na hivi ?
siku zote ni sawa, ukiamua kuhesabu kuanzia leo hadi siku ya saba ndo uka pumzika basi utakua umepumzika siku ya saba iwe ni j3 j4 j5 au vyovyote
haya ni matokeo tu ya mpangilio wa callender lakini siku zote ni sawa.
shida kwao ni siku yaani wanaiheshimu jumamosi kwamba ni siku special sanaLabda shida sio siku direct,shida nadhani ni maana ya sabato yenyewe ne jumapili inaadhimishwa Kwa maana hiyo ya sabato au Kwa maana tofauti!!
Na wanaojilipua kwa kujitoa muhanga nao waulizweKatika Agano la Kale, hakuna ushahidi unaoonyesha kwamba Jumapili ilikuwa siku ya ibada kwa waumini. Badala yake, Agano la Kale linaweka msisitizo juu ya Sabato, ambayo ni siku ya saba ya juma (Jumamosi), kama siku ya mapumziko na ibada. Amri ya nne kati ya Amri Kumi inasema:
"Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako..." (Kutoka 20:8-10).
Kwa hivyo, katika maandiko ya Agano la Kale, Jumamosi (siku ya saba) ndiyo iliyotengwa kama siku ya ibada na mapumziko.
Inawezekana kweli wanaiheshimu siku,ila Mimi nimehudhuria ibada za sabato na ibada za makanisa mengine,ni Kwamba hata maana za ibada hizo pia zipo tofauti!!!shida kwao ni siku yaani wanaiheshimu jumamosi kwamba ni siku special sana
lakini je jumamosi jumamosi imetokeaje ? ni matokeo tu ya upangeaji wa calender na haina u special wowote tofauti na siku zingine