funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,468 Reaction score 31,952 Jun 14, 2026 #1 Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki ,muongo,dhalimu na adui mkubwa wa Magufuli. RiP J.P.M
Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki ,muongo,dhalimu na adui mkubwa wa Magufuli. RiP J.P.M