Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mbona wana CCM hawaoni aibu kuchangia chama chao na kuomba fedha kutoka kwa wananchi tena kwa mbwembwe zinazosindikizwa na wasanii wa kizazi kipya waliochakachuliwa?
Wengi wanaonesha wanataka Chadema ishinde, lakini ushindi una gharama au itashinda kwa kuombewa na kunuiwa na kungojewa? Ushindi hauji, unaletwa! Kama vile wana CCM walivyo na haki ya kukichangia chama chao na wagombea wao, kutoa muda na vipaji vyao, wale wanaounga mkono Chadema au chama kingine chochote na wao wawe tayari kuchangia na hapa nazungumzia fedha kidogo kilichopo chaweza kuwa ni badiliko kati ya ushindi na kushindwa!
Ndio hayo kwa leo!
mbona wana ccm hawaoni aibu kuchangia chama chao na kuomba fedha kutoka kwa wananchi tena kwa mbwembwe zinazosindikizwa na wasanii wa kizazi kipya waliochakachuliwa?
Wengi wanaonesha wanataka chadema ishinde, lakini ushindi una gharama au itashinda kwa kuombewa na kunuiwa na kungojewa? Ushindi hauji, unaletwa! Kama vile wana ccm walivyo na haki ya kukichangia chama chao na wagombea wao, kutoa muda na vipaji vyao, wale wanaounga mkono chadema au chama kingine chochote na wao wawe tayari kuchangia na hapa nazungumzia fedha kidogo kilichopo chaweza kuwa ni badiliko kati ya ushindi na kushindwa!
Ndio hayo kwa leo!
Mbona wana CCM hawaoni aibu kuchangia chama chao na kuomba fedha kutoka kwa wananchi tena kwa mbwembwe zinazosindikizwa na wasanii wa kizazi kipya waliochakachuliwa?
Wengi wanaonesha wanataka Chadema ishinde, lakini ushindi una gharama au itashinda kwa kuombewa na kunuiwa na kungojewa? Ushindi hauji, unaletwa! Kama vile wana CCM walivyo na haki ya kukichangia chama chao na wagombea wao, kutoa muda na vipaji vyao, wale wanaounga mkono Chadema au chama kingine chochote na wao wawe tayari kuchangia na hapa nazungumzia fedha kidogo kilichopo chaweza kuwa ni badiliko kati ya ushindi na kushindwa!
Ndio hayo kwa leo!
Heshima mbele Mkuu MMKJJ: Usemayo ni ukweli. Hata hivyo watu wanachangia sana isipokuwa tu labda niseme tofauti na CCM, uwezo wao mdogo. Wengi wa wale matajiri wakubwa hawako upande wa Chadema, wako upande wa CCM, na serikali ya CCM ina uwezoi namna ya kuwakamua wachangie. Sina haja kueleza inafanya vipi.
Sasa hii ya kuchangia Chadema kwa mwananchi mmoja mmoja haiwezi kuleta hela ya kushindana na CCM, chama ambacho ambacho kinaweza kuitisha fundraising pale Kempiski na mafisadi wakachangia mabilioni kwa masaa tu.
Na ndo maana chama kama Chadema (na iliwahi kutokea huko nyuma kwa NCCR) kinakazania kupata kura za urais zaidi kuliko za wabunge majimboni. Kuna sababu mbili:
Kwanza katika demokrasia za nchi za Kiafrika power iko Ikulu, mtu asikudanganye. Hebu fikiria -- iwapo Mrema angeshinda urais mwaka 1995 (pamoja na kupata wabunge wachache -- jee CCM ingekuwapo kama ilivyo leo?
Pili, hata kama Slaa hatashinda urais, lakini idadi ya kura anazoweza kupata, ukijumlisha na idadi ya wabunge na madiwani Chadema itakaopata itaweza kukihakikishia chama hicho mamilioni ya fedha kama ruzuku, fedha ambazo zinaweza kutumika kujiimarisha majimboni katika chaguzi zijazo, kama vile kuajiri makatibu wa kulipwa mishahara -- na siyo wa sasa wa kujitolea ambao ni rahisi kununuliwa na mapesa ya CCM.
- CHADEMA hawana account ya paypal????????? au ndiyo ile sheria mpya kwamba tulio nje ya nchi haturuhusiwi kuchangia. Mwenye kufahamu hili pls tujulishane.