Wanaotaka katiba mpya wa deposit fedha ya kufadhili mchakato kupitia akaunti za TRA

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Zikifika bilioni ishirini za kuweza kufadhili mchakato wa katiba mpya, then ndipo tutakapoufikiria.
Tulisha tumia pesa nyingi kudai katiba katika mchakato ambao uliharibiwa na wana harakati.
Hatuwezi kupoteza tena pesa kurudia mchakato huo.
So wale wenye uchungu wachangie fedha za kufadhili mchakato huo!
 
Unazungumza kama mtu mwenye mamlaka na maamuzi ktk nchi aisee. Yangu macho !

Vv
 
Naafiki kabisa. Mchakato waliuharibu wenyewe halafu wanaulilia tena, kama wao ni wazalendo basi wachangie wenyewe mchakato huo, maana sisi hatuna muda huo.
 
Sidhani kama jibu nililonalo kwako linanikosesha ban. Acha nikae kimya!!
 
Naafiki kabisa. Mchakato waliuharibu wenyewe halafu wanaulilia tena, kama wao ni wazalendo basi wachangie wenyewe mchakato huo, maana sisi hatuna muda huo.
Zikifika bilioni ishirini za kuweza kufadhili mchakato wa katiba mpya, then ndipo tutakapoufikiria.
Tulisha tumia pesa nyingi kudai katiba katika mchakato ambao uliharibiwa na wana harakati.
Hatuwezi kupoteza tena pesa kurudia mchakato huo.
So wale wenye uchungu wachangie fedha za kufadhili mchakato huo!
mlisema kikwete alikua anafuja bila kujua alikua anazipata wapi ameingia anaye jinasibu kubana matumizi imekua majanga matumizi yenyewe yanayibanwa hayaonekani wala hakuna statistics zinazo onesha amebana kwa kiasi gani kulingamisha na mliyesema alikua mfujaji
 
Back
Top Bottom