Chuo kikuu cha dar es salaam,chatoa ruhusa kwa anaetaka kuhama course aliyochaguliwa kutokana na kutokuipenda au kuridhka nayo,wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza wataruhusiwa kuhama kozi zao vigezo wawe na higher points than the cutt of points ,e.g:kama course ya cvl injinia ilitaka 2.5 basi we unatakiwa uwe na 3 or higher...,AIDHA wale wote waliochaguliwa education hawataruhusiwa kuchange,mwisho.for more info visit.UDSM.AC.TZ.