wanaotaka kuja kusoma India

Kinachonitamanisha kwenda India au nje ya nchi hii kama ningekuwa naanza kusomea degree,kwenye vyuo vikuu(most of them vya nchi yetu)ni kuwa ukiwa nje at any cost utamaliza kwa muda uliopanga labda ushindwe mitihani, hapa kwentu,migomo ya kweli na isiyo ya kweli ndio ina determine kama utamaliza au la,politika vyuoni inakufanya kama ni mlala hoi, usijue utamalizaga lini kama ukibahatika,tuna kazi sisi-we acha tu.Asante kwa msaada wako,labda umeishawasaidia vijana wengi.
 

kwa haraka haraka it seems it is more expensive than bongo esp Medicine.
pia hao wahindi maCEO walikuwa trained india au USA and Europe?Most of top doctors in India have been trained in UK and US especially at residency and superspeciality level.
tunashukuru kwa kuwapa option mbalimbali za masomo watz ingawa kwa wengi inaonekana kama advert
 
Kwa hyo unawashauri watu wote wanaoliwa vichwa bongo wakimbilie huko india co?maana cjawah ona kipanga anae faulu fresh afu akakimbilia kusoma huko,most of them huwa ni failures ndo wanakimbilia india,cjui kwa nin huwa iko hvo!

:tape2:NAPE JE
 
Kufa kufaana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mtaenda kusoma mkirudi vyeti havitambuliwi na TCU kuweni makini na hivyo vyuo bora usome Tanzania maana jitihada zako ndio zitakutoa popote pale na sio chuo
 
Mkuu ahsante kwa uzalendo wako, Necta wamenipiga na kitu chenye ncha kali lakin Biology nina B na Chemisty B na mengine D zote alafu sina qualification za kwenda advance so naomba unisaidie kimawazo kama ninaweza kupata nafasi huko kusomea hata medicine au phamacy.
 
Mtaenda kusoma mkirudi vyeti havitambuliwi na TCU kuweni makini na hivyo vyuo bora usome Tanzania maana jitihada zako ndio zitakutoa popote pale na sio chuo

TCU kitu gani mkuu hata hao watoto wapo india tumebakia sisi walalahoi kuendeshwa na hiyo TCU.
 
Sawa mkuu basi we komaa na hiyo TCU yako, wenye maono ya mbali ngoja wakatafute elimu bora na sio bora elimu.

Kwani unajua TCU inahusika na nini?
Ndio maana huwa mnaambiwa msome vyuo vilivyo accredited na TCU yaani vinavyotambuliwa
 

Salama kaka habari ya shule? wanaongea vibaya hawajui ni jinsi gani watoto wamekuwa affected na haya matokeo. watoto wakifail ni mzigo kwa wazazi na wao pia ndoto zao zinaptoea. mimi mtt wangu amesoma shule za katoliki na hata tokea form 1-4 hajawai pata physics,biology,chemistry,maths D,E,F hata siku moja. ndoto zake ni siku moja awe engeneer leo necta wanatoa eti kapata D, yy mwenywe alichanganyikiwa na mm pia na hata walimu wake shuleni. anyway tutajitahidi tu, nauliza nini bora, coz mm wangu nampelekea A level Uganda then chuo ndio nimlete India maana nikisema aje form four kwa ss hv watampokea chuoni kweli? au inabidi aje huko afanya A level ya India? naomba unishauri. Necta disappoint sana. Anyway tunamuachia Mungu atatusaidia na kuwasiadia watoto wetu....
 
Mimi nakushauri uingie private A-level usome PCB, kuna uwezekano ukafanya vizuri mtihani wa form six. Kipindi kile tunasoma sisi kulikuwa na michongo ya kuandikishwa form five unawekewa condition kwamba ni lazima urudie mtihani/mitihani wa o-level na upate at least C moja, kabla haujaingia term ya mwisho ya form six(ukishindwa kupata at leat C moja hauruhusiwi kufanya mtihani wa form six, hivyo inabidi ukaze buti). Tafuta watu wanaofahamu michongo kama hiyo na nina uhakika watakuwepo.
 
GRE ndo ni kaka
GRE (graduate record exam) ni mtihani ambao unatakiwa kufanya kabla hujajiunga na degree ya masters kwenye baadhi ya states za marekani na kwingineko, mara nyingi ni kwa wale watakaosomea masters ambazo zina-relate na engineering.
Kuna GMAT(graduate management test) hii ni kwa watu wanaotaka masters za masomo yanayohusiana na biashara. Hizi ni baadhi tu.
 

Mkuu hivi mtu akisoma Alevel Uganda kuna iwezakano wa kukubaliwa kuja kusoma vyuo vya bongo baada ya kumaliza Form6? Pia ubora wa elimu wa UG na bongo ipi ipo juu?
 

Mkuu kusiristi naogopa sana kwani NECTA hawatabiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…