Wanaotaka kujifunza kupika ubuyu

Wanaotaka kujifunza kupika ubuyu

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,004
Reaction score
666
Habari zenuuu...hata Mimi nilihangaika kweli kujifunza mapishi ya ubuyu...haki..nilishaharibu sukari yangu Mara kibaooooo lkn ckukata tamaa! Sasa ni hiviii
Mahitaji:
Sukari kilo moja
Ubuyu vikombe 6
Unga wa ubuyu kikombe kimoja
Pilipili manga kijiko kimoja
Ikili kiasi
Bikabonet of soda kijiko kimoja flat
Maji kikombe kimoja
Rangi nyekundu kijiko kimoja
Harufu yyte utayopenda

Kupika sasa:
Chambua ubuyu wako..Pima vikombe 6 vya nusu kilo tia kwenye bakuli kubwakubwa, tia pamoja na iliki yako na pilipili manga...tia sukar kwenye sufuria na maji kikombe kimoja(kile kile kikombe cha nusu)...bandika jikoni tia na rangi yako..acha vichemkeeee( hapa kwenye sukari watu wengi wanakosea)...sukari inatakiwa iive ili ubuyu uweze kukauka! Sukari icpoiva ubuyu haukauki ng'ooooo!

Utajuaje km sukari imeiva???? Sukari ikichemsha inakawaida kutoa povu inaweza kumwagika! Hapo inakuwa haijaiva...ukioona inachemka INA povu lkn haipandi juu jua kuwa imeivaaaa!!! Yana linachemka putu!putu!putu!!

Epua sukari mimina kwenye bakuli uliloweka ubuyu! Km una harufu yako nyingine wekaaaa...koroga ubuyu mpaka ukorogeke! Tia b/soda endelea kukorogaaa utauona km unavimbavimba hivi...tia ungawako was ubuyu kiss cha kikombe kimoja kilekile cha nusu! Korogaaaa...unaweza ukakauka hapo au ukaufunika mpaka baada ya nusu SAA...ubuyu wako utakuwa upo tayariiii....

Jaribuni kupikaaaaaaa asanteni
 
Ahsante
 
Hebu taratibu bas! 1. Huo ubuyu na going hivyo ukishaweka katika bakuli kishavunaqeka unafanyaje? unachemsha au unasubiri maji ya Subaru yakichemka ndio uniambie ktk bakuli la ubuyu?
 
Nataka kujua namna ya kupika ubuyu wa unga ule wa kukata.
 
Back
Top Bottom