Wanaotaka kujifunza Udereva au Ufundi wa Magari

Wanaotaka kujifunza Udereva au Ufundi wa Magari

simba songea

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2016
Posts
1,498
Reaction score
1,216
Km kichwa knavyojieleza. Ni vyema tusaidiane katika nyanja hii. Hapa tunahitaji ushaur maoni au Hata mwongozo. Mm naanza na kozi ya VIP mnaionaje wadau..
 
Mie nataka kozi ya PSV nataka kubadilisha leseni kutoka class E kwenda class C plain
 
Back
Top Bottom