simba songea JF-Expert Member Joined Feb 8, 2016 Posts 1,498 Reaction score 1,216 Sep 15, 2017 #1 Km kichwa knavyojieleza. Ni vyema tusaidiane katika nyanja hii. Hapa tunahitaji ushaur maoni au Hata mwongozo. Mm naanza na kozi ya VIP mnaionaje wadau..
Km kichwa knavyojieleza. Ni vyema tusaidiane katika nyanja hii. Hapa tunahitaji ushaur maoni au Hata mwongozo. Mm naanza na kozi ya VIP mnaionaje wadau..
atown Member Joined Sep 21, 2017 Posts 60 Reaction score 37 Nov 4, 2017 #2 Mie nataka kozi ya PSV nataka kubadilisha leseni kutoka class E kwenda class C plain
fh kwenye beat JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 493 Reaction score 608 Nov 4, 2017 #3 Hivi NIT huwa wanapokea kwa vigezo gani wakuu