Wanaotaka kuweka 'Order' ya Tesla Roadster Mpya: Haya hapa mambo ya msingi na malipo kabla ya kuchukua maamuzi!

Halafu utaiendeshea wapi? Barabara hizi hizi zilizojaa bodaboda na bajaj zinazopitq kila upande?!
Imagine gari za kawaida tu za 2016-2020 ukiendesha hapa mjini zinapiga alarm kila dakika na kufunga breaking zenyewe kisa bodaboda zinazokatiza left right and centre sasa hio rocket OS yake si ita-shutdown?!!
 
Loh! Kwa gharama hizo! Kuna hatari ya kuondoka duniani kabla hujapanda hiyo gari 😭😭😭
 
Hizo nzuri sana kusanya route ya Singida - Babati boss. Wanasema zinapaa kero za mashimo hazitakuwepo.
 
Hiyo ya perfomance ya $45000 wabongo watanunua Bongo watu wa kununua gari hadi za Mil 500 wapo , Kipengele ni hii nyingine USD 245K parefu sana πŸ˜‚

Chivayo kazikosa hizi
 
Hiyo ya perfomance ya $45000 wabongo watanunua Bongo watu wa kununua gari hadi za Mil 500 wapo , Kipengele ni hii nyingine USD 245K parefu sana πŸ˜‚

Chivayo kazikosa hizi
$45,000 down-payment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…