Hapa najaribu kuweka table, mtakuwa mnaediti na kuongeza majina ili tujue public figures gani waliotoa maoni yao kuhusu katiba mpya. Ni majina ya wanasiasa individuals walio maarufu nchini, wasomi, wanaharakati, taasisi etc. Sitaki mtu aweke majina ya akina MS humu, nasema public figures nchini.
kwani ..... CUF, Chadema na Makanisa ni public figures..... which is which unahitaji majina ya watu mashuhuri au wadau mashuhuri.....? clarify bana
...Hapa najaribu kuweka table, mtakuwa mnaediti na kuongeza majina ili tujue public figures gani waliotoa maoni yao kuhusu katiba mpya. Ni majina ya wanasiasa individuals walio maarufu nchini, wasomi, wanaharakati, taasisi etc. Sitaki mtu aweke majina ya akina MS humu, nasema public figures nchini.