Wanaotaka wanajidai kukataa na wanaokataa wanajidai kutaka

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Tuschoshane, tuambiane ukweli, anaetaka asema nataka, ajulikane, na anaepinga aseme napinga nae ajulikane kuliko kutupiana mpira wa lawama na huku sote tunaumia
Tukiambiana ukweli tutaokoa muda na mali nyingi kutumika kinyume na matwaka ya mahitaji.

Tushauriane kwa wema ili kesho na keshokutwa tuendelee kusaidiana. Hata baada ya kutengana. Tuendelee kupeleka na wao waendelee kuleta na huo ndio umoja wenye afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…