Wanaotawala katika roho ndiyo hao hao hutawala katika mwili

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ukitawala katika roho basi utatawala katika mwili.

Ikiwa hauna Energy spirituality hizo hard work
Saving,

Bado hazitoibadilisha history yako completely .

Without spiritual power you will end up die broke because you used to hustle in vain (naked)
 
Uko sawa kbs
Watu hawajui kbs hili waliowengi hawana uelewa na maisha ya ulimwengu wa roho ukipgwa huko hutoboi iwe ni biashara au ofisini hutoboi....tena adui wa ulimwengu wa roho ni mbaya sn maana anaweza kuwa hata ndugu yako au rafiki yako wa karibu kila sku mko wote ila ulimwengu wa roho ndiye anakuharibia maisha yako na matokeo unayaona ulimwengu wa mwili.
 
Waganga wanatawala na wana nguvu sana huko Ila ukija huku katka mwili njaa kali sana. Mambo ya Rohoni yanaishia hukohuko rohoni vijana tupige Kazi.
 
Ukitawala katika roho basi utatawala katika mwili.

Ikiwa hauna Energy spirituality hizo hard work
Saving,

Bado hazitoibadilisha history yako completely .

Without spiritual power you will end up die broke because you used to hustle in vain (naked)
Wewe ni mlokole ?
 
Uko sawa kbs
Watu hawajui kbs hili waliowengi hawana uelewa na maisha ya ulimwengu wa roho ukipgwa huko hutoboi iwe ni biashara au ofisini hutoboi....tena adui wa ulimwengu wa roho ni mbaya sn maana anaweza kuwa hata ndugu yako au rafiki yako wa karibu kila sku mko wote ila ulimwengu wa roho ndiye anakuharibia maisha yako na matokeo unayaona ulimwengu wa mwili.
Hizi amasa za kuanza kupelekana kwa waganga kwani ulimwengu uliumbwa ili Kila mtu afanikiwe? Fact utajiri na umasikini upo kutengeneza balance
 
Ukitawala katika roho basi utatawala katika mwili.

Ikiwa hauna Energy spirituality hizo hard work
Saving,

Bado hazitoibadilisha history yako completely .

Without spiritual power you will end up die broke because you used to hustle in vain (naked)
✅🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom