DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kabisaa ndo maana sielewi wacha nipige kaziWaganga wanatawala na wana nguvu sana huko Ila ukija huku katka mwili njaa kali sana. Mambo ya Rohoni yanaishia hukohuko rohoni vijana tupige Kazi.
Yes Ila waganga hutumia negative energy that is way utawakuta wengi walk broke Ila supernatural power is keyKabisaa ndo maana sielewi wacha nipige kazi
Wewe ni mlokole ?Ukitawala katika roho basi utatawala katika mwili.
Ikiwa hauna Energy spirituality hizo hard work
Saving,
Bado hazitoibadilisha history yako completely .
Without spiritual power you will end up die broke because you used to hustle in vain (naked)
Hizi amasa za kuanza kupelekana kwa waganga kwani ulimwengu uliumbwa ili Kila mtu afanikiwe? Fact utajiri na umasikini upo kutengeneza balanceUko sawa kbs
Watu hawajui kbs hili waliowengi hawana uelewa na maisha ya ulimwengu wa roho ukipgwa huko hutoboi iwe ni biashara au ofisini hutoboi....tena adui wa ulimwengu wa roho ni mbaya sn maana anaweza kuwa hata ndugu yako au rafiki yako wa karibu kila sku mko wote ila ulimwengu wa roho ndiye anakuharibia maisha yako na matokeo unayaona ulimwengu wa mwili.
β πππUkitawala katika roho basi utatawala katika mwili.
Ikiwa hauna Energy spirituality hizo hard work
Saving,
Bado hazitoibadilisha history yako completely .
Without spiritual power you will end up die broke because you used to hustle in vain (naked)