Wanaotembea nusu uchi wana lao jambo……….!

Kwa mujibu ya mada

Sasa kama ni kwa mujibu wa mada iweje wewe ndio ''umaanishe'' aliyoandika?
Neway mujibu wa mada sio sheria....na mada haifahamu nia ya kila mmoja so i'm out!!
 

Wanaume wanaovaa saggin' pants/mlegezo ama kata K huku mfereji na makalio yakiwa njeeee nao ni vipi?
Wanaume wanaovaa pants/jeans zimebana tii hadi vyombo vyote vinaonekana waziiii nayo imekaaje?
Tusiwashambulie wanawake tu, inabidi tutoe boriti kwenye macho yetu ndio tutaona vibanzi kwa wanawake
Just a thought
 
kuna kila dalili za uanaharakati humu. Ngoja tuangalie maana hizi issue za ki social wengine ni maluweluwe tu!
 
mambo ya kukaa kwenye kioo saa moja kwa kisingizio cha kujipenda, mhhhhhhhh bado siamini sana. Nadhani kuna kutanuliana tu kwenye issue ya mavazi kwa wadada. Na kama sio hiyo kitu basi ni attraction to the other opposite sex!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…