GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Katika pitapita yangu sijawahi kuona Mtu kanunua nguo yake ya ndani a.k.a Chupi halafu isimtoshe awe mnene au mwembamba. Hivyo basi nilitaka tu kujua ni UTAALAM gani hawa Wabunifu na Watengeneza Chupi wanao kiasi kwamba Mahesabu yao huwa hayakosei kama Mafundi wengine wote wa fani zingine ambao kukosea kwao ni jambo la kawaida sana.
Karibuni Wajuvi " mtiririke ".
Karibuni Wajuvi " mtiririke ".