Wanaotengeneza chupi kwanini huwa hawakosei vipimo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Katika pitapita yangu sijawahi kuona Mtu kanunua nguo yake ya ndani a.k.a Chupi halafu isimtoshe awe mnene au mwembamba. Hivyo basi nilitaka tu kujua ni UTAALAM gani hawa Wabunifu na Watengeneza Chupi wanao kiasi kwamba Mahesabu yao huwa hayakosei kama Mafundi wengine wote wa fani zingine ambao kukosea kwao ni jambo la kawaida sana.

Karibuni Wajuvi " mtiririke ".
 
Kwa mtazamo wako unataka kutuambia Betina anaweza kuvaa chupi ya Zena?
 
akajibu akawaaambia material mengi ya chupi ni kama uke yanavutika na kutanuka we ushawahi kumuingilia mwanamke ikakataa kuingia ,ndio maana hakuna chupi ya jeans
Wana naooo..ah ah ah elasticity
 
akajibu akawaaambia material mengi ya chupi ni kama uke yanavutika na kutanuka we ushawahi kumuingilia mwanamke ikakataa kuingia ,ndio maana hakuna chupi ya jeans
Kwa shida shida kdg lkn badae inakubali
 
mtoa mada nae! zile zinakuwa na free size ndo maana ukifika kwa duka/mtumbani unachagua unayoona itatosha ....vyote
 
Na soksi je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…