WANAOTESEKA NA UGUMBA - MUNGU KAKUPA DAWA - MUNGU KAKUUMBA UPYA!

mkafrend

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
3,045
Reaction score
1,503
WanaJF, Salaam!

Uhahamu na Historia:

Kwa kipindi kirefu nimekutana na wengi ambao wameolewa au kuoa lakini hawakujaliwa kupata watoto sababu za kiafya. Nimekuwa nikitoa matibabu kwa njia ambazo si za kutangaza na wateja wangu wamefanikiwa. Nathibitisha kuwepo Mungu katikati yetu ambaye ametufunulia dawa kwa ajili ya wenzetu – kwangu mimi natoa dawa hii kama sehemu ya Ibada.

Matumizi ya dawa:
Nachoweza kusema ni kwamba dawa yangu ni ya miti ya asili kabisa (Natural Herbs) na hazina masharti ya ajabu ajabu zaidi ya kuzitumia kama lishe kwenye uji, chai au supu. Hivyo, iwapo wewe ni muhitaji, rafiki yako, ndugu yako au jamaa yako mwelekeze apate tiba ya uhakika kwa haraka.

Siku za kazi:
Kliniki yangu ipo kwa siku sita za wiki (Jumapili - Ijumaa) na siku ya Jumamosi naitumia kwa mapumziko sababu mimi ni mmoja wa waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA). Hakuna gharama utakazoingia kabla ya kufanikiwa – isipokuwa ikiwa uko mbali utagharamia usafirishaji wa dawa (Posta au Magari ya abiria).

Karibu nikuhudumie – MUNGU NI MSHINDI.

Mawasiliano ni
Msakila Mussa
S. L. P 159
KAKONKO – KIGOMA

Simu:- +255788 628 696
+255622 950 152

E-Mail: kmsakila@yahoo.com
 
Sawa ngoja tuwahabarishe wenye hii shida..
 
Mi nadhan ungemtibu wema bure kabisa, ungepata Wateja, bila hata Kutangaza mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…