Nataka niulize swali dogo tu wakuu!!
Ninachojua ni kwamba CTV wameshaunga ile internet cable ya seacom Ya chini ya maji sasa CTV iko fasta kichizi!!! uki watch video youtube ya 1 hour 30 min it doesnt stop it continuosly plays!! its really highspeeed!!
Sasa nauliza kuna uwezekano wowote wa BOL ya dar es Salaam (Bensons Online) kuweka hizo,Ili speed iongezeke??