hawa jamaa walianza vizuri ila naona Kama wana yumba.Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma.
Internet ndo kabisa Kwenye kudownload utakesha Inaenda slowly sana, Mida yake mpaka uivizie saa nne usiku Mpaka saa mbili humo, baada ya hapo ni mtandao kuwa Mwendo wa kinyonga, kwakeli naamua kuitumia kwa sababu ya Bando wanatoa kubwa sana, na bei ndogo lakini naona inataka kunishinda sasa,
Wahusika wapo kimya, tu
ilikuwa poa ila kwa siku za karibun inazingua jamaa yupo sahihiInategemea labda eneo na simu yenyewe, mie halotel ni kwa ajili internet tu na haina shida yeyote, labda hiyo huduma kwa wateja kwa siku nimejaribu nikashindwa.
Mie kuna kipindi ilikuwa inasumbua nikajua ni eneo tukawauliza lakini baadaye safi, unajua hata airtel kunasehemu inasumbua hata makongo tu hapoilikuwa poa ila kwa siku za karibun inazingua jamaa yupo sahihi
mie pia nilikuwa naiamni sana halotel naona nao wanaanza kujisahauMie kuna kipindi ilikuwa inasumbua nikajua ni eneo tukawauliza lakini baadaye safi, unajua hata airtel kunasehemu inasumbua hata makongo tu hapo