Fafanua vizuri ...kwanini waweke mtu wa kati mbona kilogic hai make sense .. siwezi kupata hizo huduma bila ya mtu wa kati ? Why?ππππSME ni Halotel wenyewe hio ni package
Soma
kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu
mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo shop bora SME kulko post paid inayo limbukiza maden Tigo wameandika kupata huduma 10k
- Tanzanite255
- mitandao mtandao smes
- Replies: 14
- Forum: Tech, Gadgets & Science Forum
Unaelewa maanaa ya SME? Unapoenda kutuma hela kwenye kile kibanda cha Mobile Money unakutana na mfanyakazi wa Mtandao husika au unakutana na Wakala? Ni sawa uniulize siwezi pata huduma ya kutuma na kupokea pesa bila Wakala wa Mobile Money?Fafanua vizuri ...kwanini waweke mtu wa kati mbona kilogic hai make sense .. siwezi kupata hizo huduma bila ya mtu wa kati ? Why?ππππ
Inauzwa kwa package sio mojamoja... unapewa GB 50,000 wewe unaenda kuzikatakata unauza kuanzia GB 5 na kuendelea ila unakua umeshalipia GB 50,000 toka kwenye mtandao wa simuHii nchi chini ya Samia ina mambo ya kiseng@ sana ...kwa nini wasiweke hayo mabando kwa wote bila ya mtu wa kati π HUYU ROSTAM AZIZI HAFAI KABISA KUENDELEA KUWA HAI KWA MASLAI MAPANA YA TAIFA NA KWA HAKI.
Sawa kwenye kutuma na kupokea pesa naweza kutuma na kupokea kwa kutumia wakala(mtu kati) au nikatuma na kupokea bila ya mtu kati ....sasa nielekeze jinnsi ya kupata hayo mabando bila ya mtu kati...Unaelewa maanaa ya SME? Unapoenda kutuma hela kwenye kile kibanda cha Mobile Money unakutana na mfanyakazi wa Mtandao husika au unakutana na Wakala? Ni sawa uniulize siwezi pata huduma ya kutuma na kupokea pesa bila Wakala wa Mobile Money?
Unataka kua Wakala maana bila Wakala hupati km unataka inabidi uwe Wakala uuziwe package sio GB 5 unauziwa GB 100,000 wewe unaenda kuzikata unauza kuanzia GB 5 ni biashara...Sawa kwenye kutuma na kupokea pesa naweza kutuma na kupokea kwa kutumia wakala(mtu kati) au nikatuma na kupokea bila ya mtu kati ....sasa nielekeze jinnsi ya kupata hayo mabando bila ya mtu kati...
Ukila na kipofu usimshike mkonoHii nchi chini ya Samia ina mambo ya kiseng@ sana ...kwa nini wasiweke hayo mabando kwa wote bila ya mtu wa kati π HUYU ROSTAM AZIZI HAFAI KABISA KUENDELEA KUWA HAI KWA MASLAI MAPANA YA TAIFA NA KWA HAKI.
Ile tabia Yao ya kuwekeza bili bado ipoSME ni Halotel wenyewe hio ni package
Soma
kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu
mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo shop bora SME kulko post paid inayo limbukiza maden Tigo wameandika kupata huduma 10k
- Tanzanite255
- mitandao mtandao smes
- Replies: 14
- Forum: Tech, Gadgets & Science Forum
Sijaelewa bill ya nini tena umeme au maji?Ile tabia Yao ya kuwekeza bili bado ipo
Walikuwa na tabia Moja hivi usiponunua bando mwezi mmoja tu jiandae kudaiwa mwezi ujaoSijaelewa bill ya nini tena umeme au maji?
Sio mimi sijaona na natumia sababu huku nilipo ndio mtandao pekee unaoshika vizuri Internet wametandaza fiberWalikuwa na tabia Moja hivi usiponunua bando mwezi mmoja tu jiandae kudaiwa mwezi ujao
Nilimtomba mmoja anaitwa Eliza mtamu huyooo.Sasa mkuu Na inakuwaje Asilimia kubwa ni wanawake Tena wenye mlengo kama kujiuza, siwaelewi π€£
Umeanza kuitumia lini labda ilivyobadilishwa jina ule mfumo wakautoa kulikuwa hakina jina la sme ilikuwa inaitwa postpaidSio mimi sijaona na natumia sababu huku nilipo ndio mtandao pekee unaoshika vizuri Internet wametandaza fiber
Ilipobadiri jina nikaamua kutest mitambo nione kukoje...Umeanza kuitumia lini labda ilivyobadilishwa jina ule mfumo wakautoa kulikuwa hakijana jina la sme ilikuwa inaitwa postpaid
Now Kasi Iko fresh na mfumo huo haupo?Ilipobadiri jina nikaamua kutest mitambo nione kukoje...
Logic ya wakala ndiyo ninayo uliza, siyo kutengeneza mazingira ya wateja kuibiwa na matapeli tu ...makampuni ya simu ni lazima kila ubunifu waona hufanya wazingatie usalama wa wateja ...logic ya uwakala wa MB NDIYO SIONI MANTIKI YAKE .... KWANINI NIENDE KWA WAKALA WAKATI NAWEZA KUBONYEZA SIMU YANGU NA KUNUNUA HIZO PAKEJI ...KWANINI WASIWEKE HIZO PAKEJI KWENYE MABANDO YA SIMU.Unataka kua Wakala maana bila Wakala hupati km unataka inabidi uwe Wakala uuziwe package sio GB 5 unauziwa GB 100,000 wewe unaenda kuzikata unauza kuanzia GB 5 ni biashara...
Mfumo huo sijauona na ni fresh sababu huku nilipo ni mitandao miwili tu ndio inashika Internet kwa kasi sana hio na Airtel.. wote wametandaza fiber chini.. voda na halotel hawapo vizuri sana kihivyo kwa hio inanibidi nitembelee na njia hio.. as a matter of fact ungekuwepo huo mfumo ningekua nishaacha kutumia line muda mrefuNow Kasi Iko fresh na mfumo huo haupo?
SME ni Halotel wenyewe hio ni package
Soma
hii badoipo ?kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu
mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo shop bora SME kulko post paid inayo limbukiza maden Tigo wameandika kupata huduma 10k
- Tanzanite255
- mitandao mtandao smes
- Replies: 14
- Forum: Tech, Gadgets & Science Forum
Pengine ni nje ya mfumo wa kodi hizi za TRA maana kuna kodi nyingi za kifalafala.Mara ya kwanza nlikua siamini lakini mpaka sasa yupo jamaa nafanya nae kazi sehem moja na anaunga bando za halotel . Ukimpa hela dakika 2 tu fresh. Sema hua najiuliza kwann hizi bando hazipo kwenye menu yao? Kama ni kitu halali kwann wasiweke kwenye menu yao watu wakawa wanajiunga wenye ?ππ