UTABAKI KUANDIKA HIVYO HIVYO, HUJUI HATA UNAFANYA NINITaifa teule Israel ubarikiwe
Watabarikiwa wanaokubariki ,watalaaniwa wanao kulaani.
Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi aliyeukomboa ulimwengu mwenye ufalme mabegani mwake. Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe Israel🙏
Ubarikiwe Israel 🙏
Ubarikiwe Israel🙏
Wewe dogo Paulo kakuharibu akili, Israel leo wamekiri kosa ni lao kama alivyo sema Hezbullah.Huko Golan walishasema tokea miaka hiyo hawataki kutawaliwa na Syria.. wanataka Utawala wa Israel wa Democracy..
Vyombo vya habari ya kiarabu vimefurahia makimbora ya Hezbollah kuwaua wasariti..nyie Muslim mnapotesha bila sababu
Hawa ndio wale wateule wa Mungu ambao walimgeuzia kibao Mungu Yesu wakamtandika mijeledi ya kutosha kisha wakamtundika msalabani na kumuua?Taifa teule Israel ubarikiwe. Watabarikiwa wanaokubariki ,watalaaniwa wanao kulaani.
Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi aliyeukomboa ulimwengu mwenye ufalme mabegani mwake. Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe Israel🙏
Ubarikiwe Israel 🙏
Ubarikiwe Israel🙏
Taifa teule Israel ubarikiweHawa ndio wale wateule wa Mungu ambao walimgeuzia kibao Mungu Yesu wakamtandika mijeledi ya kutosha kisha wakamtundika msalabani na kumuua?
= wasaliti.Huko Golan walishasema tokea miaka hiyo hawataki kutawaliwa na Syria.. wanataka Utawala wa Israel wa Democracy..
Vyombo vya habari ya kiarabu vimefurahia makimbora ya Hezbollah kuwaua wasariti..nyie Muslim mnapotesha bila sababu
Una iyo article ya Israel kukiri mkuuWewe dogo Paulo kakuharibu akili, Israel leo wamekiri kosa ni lao kama alivyo sema Hezbullah.
Hivi wewe unadhani Hezbullah anamuogopa Israel? Hezbullah anaogopa Mungu hawezi uwa watu bila hatia unless Israel crossed the redline.
Mmetangaziwa Msikitini mkaamini hapo hapo kuwa Israel amesema amepiga yeye Rockets made in Iran?Wewe dogo Paulo kakuharibu akili, Israel leo wamekiri kosa ni lao kama alivyo sema Hezbullah.
Lets wait and see.. the movie bila uongo.Hivi wewe unadhani Hezbullah anamuogopa Israel? Hezbullah anaogopa Mungu hawezi uwa watu bila hatia unless Israel crossed the redline.
Yaani watu wa dini ya kiarabu kwa ubishi mpo vizuriMajdal Shams ni wapi?
Majdal Shams iko katika eneo la Golan Heights, uwanda wa miamba kusini magharibi mwa Syria wenye umuhimu mkubwa wa kimkakati, ambao ulikaliwa na Israel wakati wa vita vya 1967 na kusalia chini ya udhibiti wake tangu wakati huo, ingawa jumuiya ya kimataifa inaitambua Milima ya Golan, kama sehemu ya Syria.
Hapo awali Majdal Shams ilisimamiwa chini ya ugavana wa kijeshi wa Israel, na mnamo 1981 Knesset ilipitisha Sheria ya Milima ya Golan, ambayo ilijumuisha eneo hilo katika mfumo wa baraza la mitaa la Israel na hatimaye kuunganishwa.
Hatua hii ilitambuliwa rasmi tna Marekani pekee, wakati wa utawala wa Donald Trump mnamo Machi 2019.
Jamii nne zilizosalia za Druze za Syria katika maeneo yanayokaliwa na Israel, Majdal Shams ndiyo kubwa zaidi, ikifuatiwa na Ein Qiniya, Masada, na Buqa'atha.
kwa mujibu wa Ofisi Kuu ya Takwimu ya Israel, Majdal Shams ilikuwa na wakazi 11,458 mwaka 2022, wengi wao wakiwa Druze.
sio dini ya Kiarabu. dini ya ya binaadam wote duniani. wenye ufinyu wa ufahamu ndio wanaipingaYaani watu wa dini ya kiarabu kwa ubishi mpo vizuri
Alileta nanisio dini ya Kiarabu. dini ya ya binaadam wote duniani. wenye ufinyu wa ufahamu ndio wanaipinga
Mkuu ulipotea sana!sio dini ya Kiarabu. dini ya ya binaadam wote duniani. wenye ufinyu wa ufahamu ndio wanaipinga
Kwa hiyo maisha ya dunia hii yameanza mwaka 1967?Hebu jiridhishe tena na tena bila wahka.Majdal Shams ni wapi?
Majdal Shams iko katika eneo la Golan Heights, uwanda wa miamba kusini magharibi mwa Syria wenye umuhimu mkubwa wa kimkakati, ambao ulikaliwa na Israel wakati wa vita vya 1967 na kusalia chini ya udhibiti wake tangu wakati huo, ingawa jumuiya ya kimataifa inaitambua Milima ya Golan, kama sehemu ya Syria.
Hapo awali Majdal Shams ilisimamiwa chini ya ugavana wa kijeshi wa Israel, na mnamo 1981 Knesset ilipitisha Sheria ya Milima ya Golan, ambayo ilijumuisha eneo hilo katika mfumo wa barazakwa la mitaa la Israel na hatimaye kuunganishwa.
Hatua hii ilitambuliwa rasmi tna Marekani pekee, wakati wa utawala wa Donald Trump mnamo Machi 2019.
Jamii nne zilizosalia za Druze za Syria katika maeneo yanayokaliwa na Israel, Majdal Shams ndiyo kubwa zaidi, ikifuatiwa na Ein Qiniya, Masada, na Buqa'atha.
kwa mujibu wa Ofisi Kuu ya Takwimu ya Israel, Majdal Shams ilikuwa na wakazi 11,458 mwaka 2022, wengi wao wakiwa Druze.
Wewe lini utaelimika kila siku tunawapeni kisomo ili mtoke upumbavuni ni bora kuwa mjinga ukajakuelewa ukielimishwa na sio upumbavu huto elewa kamwe.. Allah anawaambieni hajawahi tuma mtume anayeongea lugha isiyo ya jamii yake.. so Mohamad alitumwa kuwa muonyaji kwa watu wake Arabs so wewe ndio mpingaji kafir soma Quran yenu.sio dini ya Kiarabu. dini ya ya binaadam wote duniani. wenye ufinyu wa ufahamu ndio wanaipinga