Wanaouza bidhaa za bei rahisi, sahani za plastiki na yeboyebo au viatu vya bei rahisi, mitumba nje ya dareslaam tukutane hapa

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.

Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo.

Karibuni kwa mjadala
 
Attachments

  • 20240930_132747.jpg
    20240930_132747.jpg
    512.8 KB · Views: 23
  • 20240930_132611.jpg
    20240930_132611.jpg
    881.9 KB · Views: 23
  • 20240930_122120.jpg
    20240930_122120.jpg
    361 KB · Views: 23
  • 20240819_145254.jpg
    20240819_145254.jpg
    312.6 KB · Views: 19
  • 20240921_063641.jpg
    20240921_063641.jpg
    514 KB · Views: 17
  • 20240922_105052.jpg
    20240922_105052.jpg
    493.9 KB · Views: 16
  • 20240922_105043.jpg
    20240922_105043.jpg
    446.3 KB · Views: 17
  • 20240930_112633.jpg
    20240930_112633.jpg
    597.9 KB · Views: 21
Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.

Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo.

Karibuni kwa mjadala
Nauli mpka huko bei gani na gharama za guest zikoje
 
Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.

Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo.

Karibuni kwa mjadala
Njoo Dodoma mkuu tupige hela nimependa hiyo,Mtaji domo ninao!
 
Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.

Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo.

Karibuni kwa mjadala
Bro nimezipenda hizo zinapatikanaje hizo yebo
 
Nipo hapa kuchukua madini ila nahisi ukipata minada ya usukumani itakuwa poa sana maana mangosha wanapenda sana hizi yebo.
Vip gharama za yale magari mkuu?
Mtaji wa 1m unaweza anza hii mishe?
 
Back
Top Bottom