Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Nauli mpka huko bei gani na gharama za guest zikojeWakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.
Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo.
Karibuni kwa mjadala
Umbali kijiji mpka kijiji bei ganiWakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.
Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo.
Karibuni kwa mjadala
Gesti kwa ajili ya nn? Omboi sio ninja nn?Nauli mpka huko bei gani na gharama za guest zikoje
Kijiji umbali hatuwez kuukadiria hapa. Let's discuss in broader pictureUmbali kijiji mpka kijiji bei gani
Tunalala wapi sasaGesti kwa ajili ya nn? Wewe sio ninja nn?
Mtalala kwa pdidy, bureeeTunalala wapi sasa
Anaenda vitani halafu anataka kulala gesti kweli?😂😂Gesti kwa ajili ya nn? Wewe sio ninja nn?
Baridi ndo ulale ndani? Au mvua?Anaenda vitani halafu anataka kulala gesti kweli?😂😂
Ila kwa nyanza za juu huko utahitaji gesti aisee maana sio kwa baridi lile unaweza ambulia vichomi
Firdaus hujambo?
Njoo Dodoma mkuu tupige hela nimependa hiyo,Mtaji domo ninao!Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.
Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo.
Karibuni kwa mjadala
Dodoma unapatikana wap mkuuNjoo Dodoma mkuu tupige hela nimependa hiyo,Mtaji domo ninao!
Sisi hatuendi kulala kule ni kazikazi. Hakuna haja ya godoro wal shuka kule ni uninja tuAnaenda vitani halafu anataka kulala gesti kweli?😂😂
Ila kwa nyanza za juu huko utahitaji gesti aisee maana sio kwa baridi lile unaweza ambulia vichomi
Kisasa _Tanesco.Dodoma unapatikana wap mkuu
Bro nimezipenda hizo zinapatikanaje hizo yeboWakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.
Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo.
Karibuni kwa mjadala
Za biashara au?Bro nimezipenda hizo zinapatikanaje hizo yebo
Ee naona ni nzuriZa biashara au?
Kariakoo zinapatikana sana mkuu hizE
Ee naona ni nzuri