Wanaouza flash zenye nyimbo

Wanaouza flash zenye nyimbo

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Je hawa jamaa wanaozunguka K/koo na gari wakiuza flash zina nyimbo tofauti tofauti wanavibali au wamezilipia hizo nyimboo maana BASATA wangeanza na hawa jamaa na wachoma cd K/koo kama

Kweli wako serious kuwasaidia wasaniii
 
Wenzio wakale wapi sasa,mijitu mingime INA roho mbaya saana
 
Back
Top Bottom