Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Hadi keroDaah mmezidi nongwa aisee.
Kusomesha inahusianaje na hoja ya mleta mada?kwa vile umefika hapo ulipo, usidharau wa chini yako.
kuna mmama wa mihogo namjua, anasomesha kupitia hiyo mihogo
Sina dharau. Naomba tujadili tafsiri ya ujasiriamali.kwa vile umefika hapo ulipo, usidharau wa chini yako.
kuna mmama wa mihogo namjua, anasomesha kupitia hiyo mihogo
Ahsante kwa kunisaidia mkuu. Watanzania huwa tunafeli mijadala kwa sababu ya kutojikita kwenye madaKusomesha inahusianaje na hoja ya mleta mada?
kuendesha biashara kwa lengo la kupata faida.tafsiri ya ujasiriamali.
Wewe nd ambae hujui hata tafsiri ya ujasiriamali hapo.Tafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k.
Sasa sikuhizi unakutana na mama muuza mihogo ya kukaangwa au mchicha anajiita mjasiriamali.
Tanzania, nchi yangu [emoji28]
Tafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k.