Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua Dodoma 2017 hadi 2019.Napita mitandaoni nakuta kuna watu wamefungua makampuni yao wanauza viwanja vilivyopimwa tayari.
Naomba kuuliza kama hawa jamaa hawana magumashi. Au kama kuna alienunua kwao anipe uzoefu kidogo.
Ndo nataka kujua.
Ni kweli makampuni ya real estate yamekua mengi. Ni bora kununua kiwanja kwa kampuni kuliko kwa mtu binafsi,
Viwanja vya watu mara nyingi ni mali ya familia. so kuna wakati anauza baba tu ilihali watoto na mke inabidi wahusike.
Ni bora kununua kwa kampuni kwa sababu ya uhakika wa barabara.
makampuni mengi yanauza Dar Kigamboni na Bagamoyo pamoja na kibaha na njia hiyo kuelekea mikoani.
pia kuna wale wa chanika na mbagala wahuniwahuni.
Angalizo:. wakati unaingia mkataba wa makubaliano ya ununuzi hakikisha Ni jukumu la muuzaji kutafuta hati ya wizara ya eneo husika.
Kama utahitaji eneo upande wa kigamboni nitakuunganisha na kampuni ambayo ninefanya nayo biashara na hawana longolongo
Zipo nyingi naziona instagram.Ni kweli makampuni ya real estate yamekua mengi. Ni bora kununua kiwanja kwa kampuni kuliko kwa mtu binafsi,
Viwanja vya watu mara nyingi ni mali ya familia. so kuna wakati anauza baba tu ilihali watoto na mke inabidi wahusike.
Ni bora kununua kwa kampuni kwa sababu ya uhakika wa barabara.
makampuni mengi yanauza Dar Kigamboni na Bagamoyo pamoja na kibaha na njia hiyo kuelekea mikoani.
pia kuna wale wa chanika na mbagala wahuniwahuni.
Angalizo:. wakati unaingia mkataba wa makubaliano ya ununuzi hakikisha Ni jukumu la muuzaji kutafuta hati ya wizara ya eneo husika.
Kama utahitaji eneo upande wa kigamboni nitakuunganisha na kampuni ambayo ninefanya nayo biashara na hawana longolongo
Uko sahihi mkuuNi kweli makampuni ya real estate yamekua mengi. Ni bora kununua kiwanja kwa kampuni kuliko kwa mtu binafsi,
Viwanja vya watu mara nyingi ni mali ya familia. so kuna wakati anauza baba tu ilihali watoto na mke inabidi wahusike.
Ni bora kununua kwa kampuni kwa sababu ya uhakika wa barabara.
makampuni mengi yanauza Dar Kigamboni na Bagamoyo pamoja na kibaha na njia hiyo kuelekea mikoani.
pia kuna wale wa chanika na mbagala wahuniwahuni.
Angalizo:. wakati unaingia mkataba wa makubaliano ya ununuzi hakikisha Ni jukumu la muuzaji kutafuta hati ya wizara ya eneo husika.
Kama utahitaji eneo upande wa kigamboni nitakuunganisha na kampuni ambayo ninefanya nayo biashara na hawana longolongo
Kutotaka kuishi kigamboni kusikuzuie ww kufanya maendeleo kigamboni.Zipo nyingi naziona instagram.
Ila sina mpango wa kuishi kigamboni.
1.5m+ unapata kiwanja ila ni mbali kidogo kutoka ferry 50+ KilometersHuko Kigamboni vinatembea kwa bei gani?
Huu mtego huuuNilikua Dodoma 2017 hadi 2019.
Sikua na kampuni lakini nilitafuta viwanja na mashamba.
Kisha nilitangaza hapa JamiiForums na nilipata wateja wengi kwa makubaliano ya kuwapeleka kwa mwenye shamba/kiwanja na kisha wakimaliza makubaliano ananilipa 10%.
Hakika nilipata pesa na hii najivunia hata sasa kwa kuijua Jf.
Njema zaidi sikuwahi kufanya yeyote aliye nifaham akajutia.
20*20 halafu bado waziri anasema havipaswi kupewa hati! Aisee bongo nyoso[emoji119]Tatizo viwanja unakuta vidogo sana