Wanaovaa makoti na kupiga picha na marefa na makapteni kwenye mechi za Ligi Kuu (VPL) ni akina nani?

Wanaovaa makoti na kupiga picha na marefa na makapteni kwenye mechi za Ligi Kuu (VPL) ni akina nani?

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,358
Reaction score
5,783
Kila mechi kwenye ligi kuu yetu unaona mtu aliyevalia koti lake au shati lake la kitenge anaingia na timu uwanjani na kupiga picha na marefa na makapteni.

Huu utaratibu tumeoutoa wapi au sisi ndio wa kwanza maana huko duniani (Ulaya) sijawahi kuona. Kazi yao ni ipi?

FB_IMG_1583069103642.jpg
FB_IMG_1583069123862.jpg
FB_IMG_1583069133806.jpg
FB_IMG_1583069123862.jpg
FB_IMG_1583069103642.jpg
 
Wanasemaga eti ni kamishna wa mechi. Sasa unajiuliza kwanini na yeye asivae kimichezo?
 
Kusema kweli hao jamaa huwa wananikumbusha style ya uvaaji ya Dilu Dilumona na Bileku Mpasi wa Empire Bakuba, Nyboma Mwanido na wahenga wengineo wa Lipua Lipua, Super Vilunga au Kimulimuli Jazz Band (kwa hapa Bongo).
 
Back
Top Bottom