Kamisaa si anakuwa anavaa zile sare kama za waamuzi?
Nataka kujua tu
Kazi yake ni ipi
Wangekuwa wanavaa kimichezo sio kuvaa makoti makubwaNi kamishna wa mechi.. Kifupi ni msimamizi wa mechi (bosi) anaetoka TFF huwa anaandika report ya mechi na kusimamia mechi kwa niaba ya shirikisho
Sent using Jamii Forums mobile app
NimechekaaaSwali jingine; kwanini mara nyingi wanavaa mikoti oversize, magauni ya ajabu ajabu, na suruali pana mithili ya wanamuziki wa Empire Bakuba, Zaiko Langalanga au Lipua Lipua?