ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kupeana mawili matatu yanayohusu changamoto za kwenye application hio toka wizara ya elimu ya japan. Maana application imekaa Kwa lugha sio nyepesi kivile.. Mpo mliona tangazo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa una matatizo na English, halafu scholarship kwa degree ya pili ndio rahisi sana kupata.Kupeana mawili matatu yanayohusu changamoto za kwenye application hio toka wizara ya elimu ya japan. Maana application imekaa Kwa lugha sio nyepesi kivile.. Mpo mliona tangazo?
Pale nimeona za research na zao undergraduates na za ufundi trainingItakuwa una matatizo na English, halafu scholarship kwa degree ya pili ndio rahisi sana kupata.
Mkuu ndege JOHN ulifanikiwa kutuma maombi ?Kupeana mawili matatu yanayohusu changamoto za kwenye application hio toka wizara ya elimu ya japan. Maana application imekaa Kwa lugha sio nyepesi kivile.. Mpo mliona tangazo?