#COVID19 Wanaovuta Sigara wako hatarini kuathiriwa zaidi na Virusi vya Corona

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124


Uvutaji sigara hupunguza uwezo wa mapafu kufanya kazi na huongeza hatari ya maambukizi mengi ya njia ya upumuaji

COVID-19 ni ugonjwa wa kuambukiza ambao kimsingi hushambulia mapafu

Hivyo uvutaji sigara huharibu kazi ya mapafu na kuifanya iwe ngumu kwa mwili kupambana na virusi vya Korona

Kama unavuta sigara acha, kama uliwahi kuvuta usirudie tena na kama hujawahi kuvuta usijaribu
 
Usilete TAHARUKI,

Tumeshakubaliana kua Mwenye mamlaka ya kuongelea CORONA Ni waziri mwenye mamlaka.

Na tayari keshatwambia[emoji116]
"kila mwaka kipindi cha Novemba hadi Machi wimbi la magonjwa hususan yale yanayoathiri mifumo ya upumuaji na chakula huongezeka. Hii hutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na mvua nyingi ambazo huendelea kunyesha kipindi hiki"

Wee Ni Nani unaepinga?

AU UMETUMWA NA MABEBERU [emoji1]?
 
Mtoa mada acha kuzua taharuki tuache tuijenge nchi yetu
 
Joto na moshi wa sigara haviwezi kuangamiza virusi?
 
Sigara ni hatari kwa afya yako kwa maelezo zaid endele kuvuta!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…